Jinsi ya kuomba kufuta akaunti
-
Ingia kwenye akaunti yako
Fungua Akaunti yangu kupitia website au application ya PaGo.
-
Tuma ombi la kufuta akaunti
Chagua “Omba kufuta akaunti” na uthibitishe kwa nenosiri lako.
-
Subiri ukaguzi na uamuzi
Ombi litasubiri ukaguzi wa huduma, mizigo, salio, marejesho, madai na malipo yanayosubiri. Unaweza kulighairi kabla akaunti haijafungwa.
Taarifa zitakazohifadhiwa
Baada ya kufungwa, taarifa za profile na login huondolewa. Rekodi zinazohitajika kuthibitisha huduma, fedha na ufuatiliaji wa mizigo hazifutwi moja kwa moja; akaunti za wafanyakazi hushughulikiwa na msimamizi wa kampuni.